Tuesday, July 19, 2016

MCH MARIKI




SOMO KUMBUKUMBU LA TORATI 30:15
KICHWA – UAMUZI WA KUISHI UNAO ILA!

1. Nimekuwekea leo mbele yako:-

Isaya 1:19 – uzima na mema, mauti na mabaya

A)    Uzima ni uhai au kuishi
B)    Mema ni mafanikio au kufanikiwa

a)      Mauti – kifo au mateso – ufunuo 21:8, Warumi 6:23
b)      Mabaya ni dhambi, - zinazotendwa:

2. Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo Kumbukumbu 30:19
Nimekuwekea mbele yako: a) uzima na mauti: baraka na laana.
a)      Uzima ni kuishi kuliko kwema,
b)      Mauti ni kufa kuliko kubaya,

Msaada,
Chagua, uzima uwe hai wewe na watoto wako,
-          Faida ya kumfuata bwana, Kukumbukumbu 1:36-37
-          Kwa kuwa amemfuata bwana kwa kila neno.
Mwisho Ufunuo 22:11 A, B.

KUKAA NDANI AU KUKAA NJE – UAMUZI

-          Kukaa ndani au kukaa nje, soma Ufunuo 22:15,  mwanzo 3:18-19
-          Vilivyo wekwa nje mwisho wake soma yohana 15:6
-          Walioko nje wanatumia nguvu gani? Soma Danieli 2:2, Danieli 5:7,  Mwanzo 41, Danieli 5:11, Je waliofanikiwa jibu hapana, Danieli 5: 11, Danieli 2:46
-          Walioko ndani wanatumia nguvu gani? Mwanzo 41:16, Mwanzo 46;1-3, Danieli 3:17.

-          Tamko la Mungu juu ya walioko nje? soma Yeremia 17:5
-          Tamko la Mungu juu ya walioko ndani? soma Yeremia 17:7

-          Laana ni nini- soma Mwanzo 3:14, Mwanzo 9:25
-          Baraka ni nini- soma Mwanzo 27:27, 29

VITU VINAVYOMWEKA MTU NJE


-          UONGO, KIBURI, CHUKI, DHARAU, FITINA NA DHULUMA, WIZI, UCHAWI,

UZINZI, UKAHABA, MAJIVUNO, ULEVI, Hivi huwezi kuingia navyo kwa bwana Yesu



*MCHUNGAJI MARIKI*

No comments:

Post a Comment