DAUDI FAMILY CHURCH OF GOD MBULU
Tuesday, July 19, 2016
Deuteronomy 30:15 SESSION
Deuteronomy 30:15 SESSION
HEAD - DECISION of course live them!
1. I have set before thee this day: -
Isaiah 1:19 - life and good, death and evil
A) Life is life or live
B) good is successful or not successful
a) death - death or torture - Revelation 21: 8, Romans 6:23
b) The evil is sin - committed:
2. testify heaven and earth against you this day Deuteronomy 30:19
I have set before you: a) life and death: a blessing and a curse.
a) Life is to live than good,
b) death is worse than death,
help,
Select, the life you live you and your children,
- Benefits to follow the master, Deuteronomy 1: 36-37
- Because he has followed the master for each word.
Last Revelation 22:11 A, B.
MCH JOHN MARICK - MBULU
SOMO KUMBUKUMBU LA
TORATI 30:15
KICHWA – UAMUZI WA
KUISHI UNAO ILA!
1. Nimekuwekea leo mbele yako:-
Isaya 1:19 – uzima na mema, mauti na mabaya
A) Uzima
ni uhai au kuishi
B) Mema
ni mafanikio au kufanikiwa
a) Mauti
– kifo au mateso – ufunuo 21:8, Warumi 6:23
b) Mabaya
ni dhambi, - zinazotendwa:
2. Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo Kumbukumbu
30:19
Nimekuwekea mbele yako: a) uzima na mauti: baraka na laana.
a) Uzima
ni kuishi kuliko kwema,
b) Mauti
ni kufa kuliko kubaya,
Msaada,
Chagua, uzima uwe hai wewe na watoto wako,
-
Faida ya kumfuata bwana, Kukumbukumbu 1:36-37
-
Kwa kuwa amemfuata bwana kwa kila neno.
Mwisho Ufunuo 22:11 A, B.
KUKAA NDANI AU
KUKAA NJE – UAMUZI
-
Kukaa ndani au kukaa nje, soma Ufunuo 22:15, mwanzo 3:18-19
-
Vilivyo wekwa nje mwisho wake soma yohana 15:6
-
Walioko nje wanatumia nguvu gani? Soma Danieli 2:2,
Danieli 5:7, Mwanzo 41, Danieli 5:11, Je
waliofanikiwa jibu hapana, Danieli 5: 11, Danieli 2:46
-
Walioko ndani wanatumia nguvu gani? Mwanzo 41:16,
Mwanzo 46;1-3, Danieli 3:17.
-
Tamko la Mungu juu ya walioko nje? soma Yeremia 17:5
-
Tamko la Mungu juu ya walioko ndani? soma Yeremia 17:7
-
Laana ni nini- soma Mwanzo 3:14, Mwanzo 9:25
-
Baraka ni nini- soma Mwanzo 27:27, 29
VITU VINAVYOMWEKA
MTU NJE
-
UONGO, KIBURI,
CHUKI, DHARAU, FITINA NA DHULUMA, WIZI, UCHAWI,
UZINZI, UKAHABA, MAJIVUNO, ULEVI, Hivi huwezi kuingia navyo kwa bwana
Yesu
*MCHUNGAJI
MARIKI*
MCH MARIKI

Subscribe to:
Posts (Atom)